OBAMA NA MICHELLE WATENGANA, SOMA ZAIDI HAPA
Obama
akimshika begani Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati
wa mazishi ya Mandela nchini Afrika Kusini. Kulia ni Michelle Obama
akiwa amenuna.
RAIS
wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle wanadaiwa kutengana. Habari
zinadai kuwa wawili hao wanalala katika vyumba tofauti kwa sasa ndani ya
Ikulu ya Marekani 'White House'.
Mgogoro
baina ya wawili hao ulianza zamani na wameweza kuendelea kuishi pamoja
kwa sababu ya watoto wao wawili wa kike Sasha na Malia na kulinda
heshima ya urais.
Michelle
anadai amechoka na atakutana na mwanasheria wa masuala ya talaka ili
aweze kuachana na rais huyo wa 44 nchini Marekani. Michelle ataendela
kuishi Ikulu 'White House' kwa muda wote uliobaki katika kipindi cha
utawala wa Obama, ila ameweka wazi kuwa watakuwa wakiishi vyumba
tofauti.
Anataka
kuishi katika chumba kimojawapo cha familia kilichowazi na anajiandaa
kuhamisha nguo zake na kila kilicho chake kutoka kwenye jumba lao la
kifahari la mamilioni ya dola lililopo Chicago.
Michelle
alichanganyikiwa zaidi baada ya Obama kupiga picha za kimahaba akiwa na
Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati wa mazishi ya
marehemu Nelson Mandela nchini Afrika Kusini.
Obama
mwenye miaka 52, alikuwa akifurahi, kunong'enezana na kumshika begani
mrembo huyo mwenye umri wa miaka 46 ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa
Denmark tangu Oktoba 3, 2011.
0 comments: