LINEX AHUSISHWA NA KUKAMATWA KWA JACK CLIFF HUKO CHINA, ACHARUKA VIBAYA, SOMA HAPA ALICHOSEMA
Kufuatia madai mbalimbali juu ya Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini China (Jack Clief) , Msanii Linex ambaye amefanya video ya wimbo wake wa Kimugina na msichana huyu ameamua kumkana laivu....
Huu nu ujumbe wake alioundika facebook
Nimechoka maswali kuhusu jack cliff model nilieshoot nae kimugina napenda kuwambia wote wanaoniuliza maswali ya ajabu kwamba sijawah kua na ushikaji na jack zaid ya kumtafuta nilipokua na kazi nae so sijui kitu chochote kuhusu jack anafanya nn ana nn ana kaz gan zaid ya umodel sijui so mnaonitupia maswali na picha wats up plzzz cos sijawahi kua karibu na Jack na sijui chochote kuhusu jack zaidi ya kufanya nae vdeo.
0 comments: