MASTAA WAMPA ZA USO JACK CLIFF BAADA YA KUKAMATWA CHINA, SOMA HUDDAH ALICHOANDIKA TWITTER



Aliyekuwa muwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Huddah Monroe aka Thee Boss Lady amerusha dongo kwa mrembo wa Tanzania Jackie Cliff ambaye alikamatwa na dawa za kulevya aina ya Heroin nchini china.

Tweet ya Huddah inadai kuwa Jackie Cliff ni mrembo ambaye alitaka kuishi maisha mazuri ya haraka na kutumia vitu vya kifahari, pia akaambatanisha na picha mbili zinazomuonesha Jackie akiwa amepozi kabla ya kukamatwa na nyingine akiwa na pingu, picha iliyotolewa na gazeti la nchini China.

Katika tweet nyingine Huddah ambaye hupenda kuonesha maisha ya kifahari anayoishi, amefunguka zaidi na kuonesha kuwa yeye ni muoga na asingeweza kufikia kiwango hicho.

“So this beautiful Tanzanian girl was caught with a KG of Cocaine. That’s now a BAD ASS B**CH! I’m such a coward…I swear I’m not BAD!” Huddah ametweet.



THEE BOSS LADY @HUDDAHMONROE

Follow

Beautiful girl...Wanting to live the "Fast Life" "The good life" Gucci ,Prada,Roberto Cavalli,Alexander Wang!

8:50 PM - 28 Dec 2013
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: