KATIKA BURUDANI : HAWA NDIO WASANII WALIOONGOZA KUFANYA VIZURI TANZANIA




MSANII DIAMOND PLATINUMZ NDIO ANAONGOZA KUINGIZA MSHIKO MWINGI
diamond-platnumz
Inasemekana kuwa raisi wa wasafi classic,Diamond PLatinum ndiye msanii wa bongo fleva wa kiume anayeongoza kuingiza mshiko kwa mwaka huu,kutokana na kuzidi ku-shine kwa mwaka huu na nyimbo zake kuweza kuhit airwaves za mipaka ya nchi mbali mbali,amekuwa akipiga show nyingi zaidi za nje ya nchi za kutosha huku akiingiza mshiko wa maana kupitia show zake,nyimbo zake kuzidi ku-make headlines,ziliongoza kuwa downloaded kama caller tunes hivyo ku-boost mshiko anaoingiza kupitia dili kama hizo hapo.
LADY JAY DEE KUZIDI KUONGOZA KUINGIZA KWA UPANDE WA WASANII WA KIKE TZ
lady_jaydee
Takwimu zinaonyesha kuwa toka mwanzoni mwa mwaka huu,Lady jay dee ndiye alikuwa anasimama kama ndiye msanii wa kike pekee anayeongoza kwa kuingiza mshiko wa maana kwa mwaka,amekuwa ni mmoja ya wasanii wa kike anayejituma kwakweli na ndio sababu anazidi kushikilia hizi charts za muziki na kuzidi kupasua anga za east afrika kwa heat zake ikiwemo ya YAHAYA,Mbali na muziki,Lady jay dee ni mjasiriamali,ana-own business mbalimbali kubwa zinazozidi ku-boost income yake,ikiwa ni pamoja na kumiliki kwa Nyumbani Lounge
WEMA SEPETU  KUONGOZA KUANDIKWA KATIKA MEDIA
WEMA+SEPETU
The BossLady Wema Sepetu ndiye celeb anayezidi kuongoza kuandikwa katika media mbalimbali,Unaweza kumuita kardashian wa bongo cause it shows that kukiwa na story inayomuhusu Wema hapa Bongo,watu wanakuwa attentive zaidi na curious kujua what is up,this forces the name Wema Sepetu kuongoza kuandikwa katika media kwa mwaka huu 2013.
NISHER NDIO MTENGENEZAJI VIDEO KALI KWA MWAKA HUU
nisher-5
Inasemekana kuwa kutokana na ubora na utofafauti wa video zake,kwa mwaka huu ndiye anayeongoza kwa kutoa video kali sana hapa Bongo,Hii imeonekana na hata baadhi ya wadau wa muziki hapa Tz kumvulia kofia kijana huyu kwa umakini wake na ubunifu wake katika video zake,na kutengeneza utofauti wa video hapa bongo,amefanikiwa kupata fans wengi sana nje ya Bongo na hata video zake za muziki zimekuwa zikipata internationa market.
AY NDIYE MSANII WA BONGO  MWENYE INTERNATIONAL COLLABORATIONS  NYINGI
3
Mbali na nyimbo zake kuongoza kupigwa katika nchi mbali mbali za nje,ikiwemo nyimbo yake maarufu ya Party People msanii Ambwene yesaya maarufu kama AY ndiye msani wa Bongo anayeongoza kula collabo za ki-internationa zaidi katika Mziki huu wa bongo Fleva,wasanii wa nje wakiwemo lil’Romeo wa marekani,Sauti sol wa kenya,Jmartin wa Nigeria,Jaguar wa kenya,etc na hizi ni baadhi tu ya nyimbo,hustle zake ndizo zinazo mfanya kuzidi ku-shine international zaidi na kuzidi kuongoza hata kwa mwaka huu.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: